Tuzo za Kilimo

Utangulizi

KUSHEREHEKEA UFANYAJI KAZI MAHIRI, UBORA, UBUNIFU NA UWAJIBIKAJI KWENYE KILIMO

Tuzo za Kilimo inatambua na kusherehekea mashirika na wadau mbalimbali wanaoonesha ubunifu unaochangia nchi ya Tanzania kuonekana kiongozi kwenye sekta ya Kilimo kikanda. Vipengele mbalimbali kwenye tuzo hizi vinaakisi maeneo bora makuu kwenye sekta hii mahiri yakiwemo kilimo cha mazao, vinywaji, uzalishaji wa chakula na mengine mengi.

Waandaaji